Advert

Breaking News

Rais Magufuli Amemteua Mkuu wa Majeshi na Mnadhimu Mkuu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli, amemteua Luteni Jenerali Venance S. Mabeyo kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania na pia kumteua Major Jenerali James Mwakibolwa kuwa Mnadhimu mkuu wa Majeshi ya ulinzi Tanzania.

Hii ni taarifa yake:


Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.