Advert

Breaking News

Nicki Minaj Amerudiana Rasmi na Drake ?

Unaambiwa mapenzi Mubashara!! Baada ya kumwagana na Meek Mill mrembo Nicki Minaj amethibitisha ukle msemo usemao ukiona cha nini wenzio wanauliza watakipata lini kwani Drake ameonekana kwa mara ya kwanza akiwa na mrembo huyo tangia mwaka mmoja upite sasa.

Nicki kunako ukurasa wake wa Instagram ameposti picha akiwa na Drake kwenye mkao wa mapenzi mubashara na ukizingatia huu ni mwezi wa Wapendanao wacha tusubiri kwani wawili hao mpaka sasa wanakataa kuwa hawajawi kujigi jigi.
A photo posted by Nicki Minaj (@nickiminaj) on
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.