Irene Uwoya Afafanua Ishu ya Kupenda Wenye Sura Mbaya. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Irene Uwoya Afafanua Ishu ya Kupenda Wenye Sura Mbaya.

Baada ya mwigizaji Irene Uwoya kusema kuwa anapendelea zaidi kuwa na wanaume wenye sura mbaya, leo kupitia XXL ya clouds FM, Soudy Brown amepiga naye stori na ameifafanua zaidi kauli kauli.

‘Nawapenda wanaume wenye sura mbaya kwa sababu wanajua mapenzi na wanaogopa kuachwa, mtu mwenye muonekano mzuri yuko busy na kujitengeneza lakini mbaya yeye mkiwa sehemu akili inakuwa pale’;- Irene Uwoya Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.