Advert

Breaking News

Dili la Tangazo Lamrudisha Justin Bieber Instagram.

Pop staa kutoka Canada Justin Bieber amefurahisha mashabiki wake baada ya kurudi kwenye mtandao wa instagram unaoweka watu maarufu karibu zaidi na mashabiki zao.
Instagram ya Justin Bieber ( @justinbieber ) imerudi hewani ikiwa na tangazo la T-Mobile kuhusu tamasha la Superbowl na inasemekana kampuni hio imempa Justin pesa ambazo ameshindwa kukata.
Ata kama Justin Bieber karudi IG, je ataendelea kutoa burudani kwenye kurasa hio kama zamani, mabinti wasa subiri kwa hamu.
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.