Advert

Breaking News

Audio:Tid Ft.Fid Q - Maisha ya Jela

Hivi uliwahi kukaa ukayafikiri maisha ya watu wanayoishi jela. najua utakuwa umeshalipata jibu. Mkali kutoka pande za rockcity Mwanza kwenye upande wa Hip hop mkali Fid Q amepata shavu kutoka kwa Tid mnyama.
Bongoswagzz inakukaribisha kuidownload na kuimiliki ngoma kalia ya Tid aliyomshirikisha Fid Q na kuibatiza jina la Maisha ya Jela. Enjoy
                                                         
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.