Advert

Breaking News

Audio: Msami Baby Ft.Chemical - So Fine

Achana na ile ya Baraka da Prince, hii ni ngoma mpya kutoka kwa Msami baby aliyoamua kumshirikisha rapper wa kike, hapa namzungumzia mwanadada Chemical na kuja na hii ya So fine.
Bado tutaendelea kupata mautamu ya ngoma za msami zinazopikwa na producer wake Jobanjo na kama ilivyokawaida yetu Bongoswaggz inakupa nafasi ya kuinjoy na ngoma hii.
                                                 
https://my.notjustok.com/track/182958/msami-baby-ft-chemical-so-fine


Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.