Advert

Breaking News

Audio: Ibranation - Kuwa Na Wewe (Cover

Kiukweli muziki kwasasa umebadilika tena kwa kiasi kikubwa na hata yule ambae anaonyesha umahiri wake kwatika jambo hili basi mambo humuendea sawa, Hii imejidhihirisha kwa msanii anaechipikia akitokea THT.
Unaweza mwita Ibranation ama vyovyote vile upendavyo lakini uhusishe kile anachokifanya. Bongoswaggz inakupa nafasi ya kuifaidi Cover ya nyimbo ya Buibui iliyo wahi ku-hit miaka ya nyuma.iliyofanywa na Ibranation Enjoy

Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.