Advert

Breaking News

Audio: Cassim Mganga ft Kilimanjaro Band {Njenje) - Somo

Baada ya ukimya hii ni zawadi nyingine kutoka kwa tajiri wa mahaba kutoka Manzabei maneno flani ya tanga aja na hii aliyowashirikisha wana wa njenje waliyoibatiza jina la somo.
Bongoswaggz inakuwa wasaa wa kuinjoy na ngoma flan yenye mahadhi ya pwani na miondoko ya rumba chacha. Enjoy
https://my.notjustok.com/track/182992/kassim-mganga-ft-nyota-kilimanjaro-band-somo

Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.