Advert

Breaking News

Video: Fid Q - Kemosabe

Mkali wa Hiphop nchini Tanzania Fareed Kubanda almaarufu kama Fid Q ameamua kuwa-surprise mashabiki zake kwa kuwashushia video ya ngoma yake aliyoitoa kama interlude kwenye birthday yake ya mwaka 2015.

Inaitwa Kemosabe, nimeileta hapa karibu yako ili uweze kuenjoy nayo. Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.