Advert

Breaking News

Picha: Wema Sepetu Arudi Kwa Kishindo Hiki Mitandaoni, Amenoga Balaa.

Mwigizaji na Staa kipenzi cha wengi Tanzania Wema Sepetu amerudi rasmi kwenye mitandao ya kijamii haswa Instagram baada kufuta picha zote na kukaa kimya kwa muda. 

Wema ameanza ku share picha zake mpya na kali huku akijiachia na mapozi matata huku akitoa ahadi ya kuja na kitu kipya kwa ajili ya mashabiki zake. Unaweza kuziona hapa chini kwa kubofya namba ya picha. 

NB: Tumezificha kidogo kwa sababu za kimaadili.
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.