Advert

Breaking News

Picha: Hili Ndio Jumba Analojenga Mbwana Samatta Huko Kigamboni.

Staa wa Tanzania katika Soka,Mbwana Samatta,ameamua kujenga Hekalu lake kimya kimya Maeneo ya Kigamboni,Imefahamika.

Samatta ambaye anakipiga katika Ligi ya Ubeligiji ,inasemekana ameamua kujenga Hekalu hilo mara baada ya kubomoa iliyokuwa nyumba yake ya awali maeneo ya Kisarawe II.
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.