Advert

Breaking News

Mwana FA: Sina Mpango wa Kufanya Kazi Tena na Lady Jaydee.

Rapa Mwana FA anaefanya vizuri na wimbo wake wa "Dume Suruali " amefunguka na kuweka wazi hana tena mpango wa kufanya kazi na msanii Lady Jaydee.
]
Mwana FA alisema hayo kupitia kipindi cha planet bongo kunachorushwa na east Africa Radio " kwasasa sina mpango tena kufanya Kazi na Lady Jay dee na hili swali sijui kwanini linajirudia Mara kwa mara na wasanii wengine na sina tatizo nao.
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.