Advert

Breaking News

Mlinda Mlango wa Kagera Sugar, David Burhan Afariki Dunia

David Buruhan kipa wa Kagera Sugar na mtoto wa mshambuliaji wa zamani wa timu ya PAN, Abdallah Buruhan amefariki leo Hospitali ya Bugando.

Aliugua ghafla wakielekea Singida kwenye mechi ya Kombe la Shirikisho, waliporudi Kagera hali yake ikawa mbaya na kukimbizwa Bugando.

Hili ni pigo kubwa kwa wakazi wa Kagera na mashabiki mnazi wa chama la nyumbani Kagera Sugar.
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.