Advert

Breaking News

Diamond Platnumz Ashinda Tuzo Nyingine Nchini Nigeria.

Diamond Platnumz ameibuka mshindi kwenye tuzo za Too Exclusive za nchini Nigeria zilizotolewa wiki hii.

Hitmaker huyo wa Salome, amenyakua tuzo ya Msanii Bora wa Mwaka wa Afrika na kuwabagwa AKA, Vanessa Mdee na wengine waliokuwa wakiwania kipengele hicho.

Ameshukuru ushindi huo kwa kuandika, “Thank you so Much my dear fans…thanks alot Too Exclusive Awards #AfricanArtisteOfTheYear .”
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.