Advert

Breaking News

Diamond Platnumz Akabidhiwa Bendera Kuiwakilisha Tanzania Katika Mashindano ya #AFCON2017

Mwanamuziki Diamond Platnumz amekabidhiwa bendera ya Tanzania na waziri wa habari sanaa na michezo Mh. Nape Nnauye ili kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya #AFCON2017 nchini Gabon ambapo atatumbuiza katika ufunguzi wa mechi ya michuano hiyo. Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.