Advert

Breaking News

Wizkid awapa neno mashabiki zake.

Baada ya kunyakuwa tuzo kadhaa alizowekwa mwaka huu msanii kutoka Nigeria alifanya ngoma nyingi zaidi nchini humo,Wizkid awaomba radhi mashabiki zake aliowaahidi kumaliza nao mwaka kwa show.

Wizkid amepiga show nyingi zaidi kuliko msanii yoyote yule kutoka Nigeria akifuatiwa na Techo. kupitia ukurasa wake wa Instagram. wizkid anatuchana sababu za yeye kupumzika na kutofanya show mwaka huu.

Bongoswaggz inakusogezea kilichomfanya wizkid kusitisha show zake mwishoni mwa mwaka huu.


Itazame hapa mtu alivyotunzwa pesa mbele ya mashemeji zake.

Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.