Advert

Breaking News

Video: Nedy Music ft Christian Bella - Rudi

Baada ya kufanya vizuri kwenye ngoma yake ya Rudi iliyoachiwa hivi karibuni.Nedy Music anatusogezea Video ya nyimbo yake mpya aliyomshirikisha Christian Bella alobatizwa jina la  Rudi.

Bongoswaggz inakupa wasaa wa kukitazama kichupa hicho na kudondosha comment yako. Je rudi imeizidi basi nenda?
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.