Advert

Breaking News

Q Chief Kuachia Ngoma Yake Mpya Aliyomshirikisha Patoranking ‘Koku’

Msanii mwenye sauti tamu kunako katika muziki wa Bongo Flava Abubakary ‘QChief’ Katwila, wiki hii anatarajia kuachia wimbo wake aliyofanya na Patoranking uitwao ‘Koku’.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram na Kurasa za mastaa wengine, kumeonekana picha inayoashiria kuja kwa wimbo huo.

Hii ni karata nyingine kwa Q chief kwa siku za hivi karibuni ambapo ameonekana kuwekeza zaidi katika muziki wake.

Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.