Advert

Breaking News

Audio: Tekno - Rara

Kama ni ngoma ambazo huenda zikawa ni funga mwaka ni hii ya mzee wa Pana Tekno kuja na 'Rara' nyimbo ambayo mikato yake haijapishana sana na Diana, kibao anachotamba nacho kwa sasa.

Bongoswaggz inakusogezea ngoma mpya ya Tekno inaitwa 'Rara'  Enjoy nayo kwa kuidownload.
 https://my.notjustok.com/track/download/id/156861
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.