Advert

Breaking News

Audio: Bwana Misosi Ft. Nuruely -Makofi Kwa Magufuli.

Unaweza pia kutumia maana halisi ya sanaa au jina la msanii kuwa kama jicho la wananchi kuona jambo na kuwafikirishi katika jamii.

Bwanamisosi anatumia nafasi hiyo kumpongeza Mh raisi kwa mambo aliyoyafanya tangu aingie madarakani.

Bongoswaggz haitaki kukunyima uhondo wa ngoma hiyo Enjoy nayo.kwa kuidownload.

https://my.notjustok.com/track/download/id/155949


Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.