Advert

Download Nyimbo Mpya

Breaking News

Video: RayVanny - SUGU

Msanii Raymond 'Ray Vanny' toka lebo ya WCB Wasafi ameachia ngoma 'SUGU' ambayo sio mpya sana kwani ulikuwa ni wimbo maarufu kutoka kwa msanii/mbunge Mh. Joseph Mbilinyi 'Sugu' . Kwenye wimbo huu Ray Vanny ameonyesha kipaji na uwezo wake wa ku rap. 

Cheki hapa chini kisha toa maoni yako.
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.