Advert

Breaking News

Tekno Kuungana na Davido, Wizkid na Alikiba Kwenye Lebo ya ‘Sony Music’

Mkali wa ‘Pana’ Tekno inawezekana akajiunga ‘Sony Music Global’ hivi karibuni.

Kwa mujibu wa post aliyoweka boss wa Upfront & Personal, muanzilishi wa tamasha la ‘One Afrika’ Paul O akiwa kwenye makao makuu ya label hiyo kubwa duniani, New York amedai Tekno anasaini ‘Major’ dili na Sony Music Global.

Iwapo Tekno atafanikiwa kusaini na Sony basi atakuwa ameungana na Davido, Wizkid, Alikiba na Ycee aliyesaini wiki chache zilizopita. Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.