Advert

Breaking News

Ratiba ya mechi za EFL zitakazo chezwa wiki hii

Wiki hii tena timu zinazoshiriki ligi mbalimbali zinakutana kwenye ligi moja ya EFL CUP, itakayozikutanisha timu kadhaa za ligi mbalimbali.

November 30 ya mwezi huu unazikutanisha timu nne zinazoshiriki ligi kuu ya England,na huwenda mambo yakawa safi kwa timu kubwa mbili kati Manchester na Arsenal.

Orodha ya mechi zitakazo pigwa November 30 ya mwezi huu.
  • Arsenal vs Southampton
  • Manchester united vs West harm United.
Bongoswaggz itakusogezea mechi hii na utaitazama hapa live hapo kesho mida ya saa 2 usiku
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.