Advert

Breaking News

Picha: Alikiba Aimaliza Birthday Yake Kwenye Mbuga za Wanyama.

Leo November 30 tunaweza sema ndio siku ya kwanza msanii Alikiba anauona uso wa dunia kwa baraka za Mungu kumleta kijana huyo anaefanya vyema kwenye muziki wa kizazi kipya.

Bongoswaggz imezinyaka picha za maeneo kadhaa ya msanii huyo jinsi alivyoisheherekea siku yake ya kuzaliwa akiwa mbugani.
 Akiwa anafanya utalii mbugani Serengeti.


 Alikiba na Baraka The Prince

Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.