Advert

Breaking News

Maneno ya Wema Sepetu Baada ya Ushindi wa Tuzo Tatu Kwa Diamond.

Msanii Diamond Platnumz ameibuka mshindi katika tuzo za AFRIMA zilizotolewa huko nchini Nigeria ambapo alishinda tuzo 3 kwenye vipengele. 1. SONG OF THE YEAR - UTANIPENDA 2. EAST AFRICAN ARTIST OF THE YEAR 
3. BEST AFRO POP ARTIST

Maneno ya Wemasepetu baada ya Diamond Kushinda tuzo hizo ni haya hapa:

"Makofi matatu kwa Tuzo tatu... "Tanzania's Pride..." Sema picha hii Kali saaaaaaanaaaaa... Utasema sio wa Tandale...(Sorry Bro)... Congrats once again...!!"
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.