Advert

Breaking News

Video: Mwana FA Ft. Vanessa Mdee - Dume Suruali | Download

Wimbo mpya kutoka kwa Mwana Fa akimshirikisha Vanessa Mdee 'Vee Money', Wimbo unaitwa 'Dume Suruali'
Ni wimbo unaoelezea hasa wanaume ambao sio watoaji huduma kwa wapenzi wao yaani 'Wabahili' wanavyochukuliwa au kusemwa na wanawake au wapenzi wao.
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.