Advert

Breaking News

Alikiba Ashinda Tuzo Mbili za The Nollywood & African Film Critics (NAFCA)

Alikiba ashinda tuzo mbili za The Nollywood & African Film Critics (NAFCA)

Alikiba ameshinda vipengele viwili kwenye tuzo za heshima kubwa za The Nollywood & African Film Critics (NAFCA) ambazo hutolewa nchini Marekani.

Tuzo za mwaka huu zilitolewa wikiendi hii kwenye ukumbi wa Alex Theatre of Glendale, huko California. Zilikuwa ni tuzo za 6 na zilionekana katika nchi mbalimbali duniani.

Alikiba ameshinda kipengele cha Favorite Artist of The Year na Favorite Song of The Year. 
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.