Advert

Breaking News

Video ya ‘Salome’ Ndio Video Niliyolipwa Pesa Ndefu Kuliko Zote - Hamisa Mobetto

Modo wa kike kiwango Bongo, Hamisa Mobeto, amesema kuwa alilipwa pesa nyingi mno kuonekana kwenye video ya wimbo wa ‘Salome’ wa Diamond Platnumz.

Akizungumza kupitia kipindi cha The Playlist cha Times Fm, Hamis amedai ndiyo video aliyolipwa mkwanja mrefu zaidi kuliko zote alizowahi kuzifanya. “Siwezi sema ni kiasi gani ila ni a lot of money” alisema Mobeto.

Katika Hatua nyingine modo huyo wa kimataifa ameitaja Video ya Barnaba ‘Magube gube’ kuwa ndio video aliyolipwa pesa ndogo kuliko zote alizowahi ‘kuuza nyago’.
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.