Advert

Breaking News

Eric Omondi Anatufundisha Jinsi ya Kuwa Kama Rais Magufuli.

Eric Omondi bado anaendelea na komedi zake za “How to be”, sasa ameileta ya “how to be magufuli”

Baada ya kufanya vizuri na ya Diamond Platnumz na Akothee, Eric Omondi ameileta video yake mpya ya kuwa kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Magufuli. Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.