Advert

Download Nyimbo Mpya

Breaking News

Selena Gomez Afikisha Idadi ya Followers Million 100 Instagram.

Selena Gomez ndio mtu wa kwanza kuwa na idadi kubwa zaidi ya followers kwenye mitandao, amefikisha idadi ya followers Million 100 kwenye mtandao wa Instagram.

Mrembo huyo ameweka rekodi ya kuwa mtu wa kwanza kufikisha idadi kubwa zaidi ya followers kwenye mitandao akifuatiwa na Taylor swift mwenye followers 91.4 M, Beyonce mwenye 85.2 M na Kim Kardashian mwenye followers 83.5 M.

Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.