Advert

Breaking News

Audio: Diamond Platnumz ft Rayvanny – Salome

Diamond Platnumz ameamua kuachia wimbo mpya ‘Salome’ akiwa amemshirikisha Rayvanny. Wimbo huo ambao una vionjo vya wimbo wa ‘Chambua Kama Karanga’ wa Saida Karoli umeandaliwa na producer Laizer kutoka Wasafi Record.


Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.