Advert

Breaking News

Mrembo Wa Wiki: Vera Sidika Mwanadada Mwenye Umbo Matata, Anatokea Kenya

Mrembo wa wiki hii ni Vera Sidika amezaliwa September 30, 1989 (umri miaka 26) huko Mombasa, Kenya.  Vera a.k.a Vee Beiby amejipatia umaarufu mkubwa sana kutokana na umbo lake matata linalowavutia na kuwachanganya wengi. 
Ni model, video vixen na pia mjasiriamali.


Share na Washkaji Pia. 
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.