Advert

Download Nyimbo Mpya

Breaking News

Mapenzi ya Drake Kwa Rihanna Kwa Sasa ni ya 'Mwendo Kasi', Ona Alichofanya Hapa

Drake anazidi kuonyesha mapenzi kwa Rnb staa Rihanna, This time jamaa kanunua bango kubwa la barabarani na kumuandikia ujumbe wa pongezi kwa RIRI kwenye tuzo za MTV Video Music Awards.
Bango limeandikwa “Congratulations to Rihanna from Drake and everyone at OVO,”
Rihanna alijibu ujumbe huu kwa kuandika When he extra ❤????!!!.
Drake na Rihanna wametajwa kurudiana zaidi ya mara moja ndani ya hii miezi miwili.

Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.