Advert

Breaking News

Lugha ya Kiswahili Kuwa Lugha Rasmi ya Afrika Mashariki.

Bunge la Afrika Mashariki limepitisha azimio la kuifanya lugha ya kiswahili kuwa lugha rasmi ya jamii ya Afrika Mashariki.

Kwa mujibu wa gazeti la The Citizen, limeripoti kuwa wajumbe wa bunge hilo wamekubaliana kwamba mabadiliko hayo yalikuwa yakisubiriwa sana kwa kuwa lugha hiyo imechukua jukumu kubwa la kuwaunganisha wakaazi wa Afrika Mashariki.

Hatua inayofuata ni kwamba mkataba wa EAC utalazimika kufanyiwa marekebisho . Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.