Advert

Breaking News

KRC Genk ya Samatta Yaingia Kwenye Mchujo wa Mwisho

Nahodha wa Timu ya Taifa Tanzania Mbwana Ally Samatta, amekuwa ni moja ya wachezaji waliosaidia klabu ya KRC Genk kufunga mabao 2-1 dhidi ya Cork City katika mchezo uliofanyika jana katika uwanja wa Turners Cross nchini Ireland.

Ushindi huo walioupata KRC Genk umefanya wasonge mbele kwenda hatua ya makundi ya Europa League kwa jumla ya mabao 3-1, Mabao ya Genk yalifungwa na Thomas Buffel dakika ya 12 na Sebastien Dewaest dakika ya 41, wakati la wenyeji lilifungwa na Alan Bennett dakika ya 63.
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.