Advert

Download Nyimbo Mpya

Breaking News

Dj D-Ommy Anakupa Zawadi Yako Hii "5 Minutes Of Dj D-Ommy" Sikiliza Hapa

Leo Dj D-Ommy ameachia Short Mixx ya Dakika 5,Inayoitwa "5 Minutes of Dj D-Ommy" special kwa mashabiki wake kama shukrani kwao kwa kuendelea kumpigia kura kwenye Tuzo Mbili ambazo ni AFRICA ENTERTAINMENT AWARDS USA (AEAUSA) na AFRIMMA.

Unaweza kusikiliza hapa;

Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.