Advert

Breaking News

Chege Aelezea Ukweli Wa Stori ya Wimbo Alioimba na Diamond ‘Waache Waoane’

Kumekuwa na story za chini chini kuwa huenda ikawa kunaukweli kuwa walichokiimba Chege na Diamond Platnumz kwenye wimbo wao wa ‘Waache Waoane’ kimemtokea mmoja wao.

Kutoka TMK, Chege, ameamua kufunguka kuhusu sakata hili ambapo ameiambia Story 3 ya Planet Bongo ndani ya EA Radio kuwa hakuna ukweli kwenye hicho, “Hamna ni cretivity tu hamna kitu ambacho kinaimbwa kikawa nichaukweli. Ukiamua kuweka ukweli ni wewe ukiamua kuweka uongo niwewe, Sema wewe utakavyo mjibu mtu sasa itaonekana ukweli au uongo” Amesema Chege. Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.