Advert

Breaking News

Video: Darassa - Too Much

Rapper kutoka Bongoflevani, Darassa anayetamba na wimbo uitwao Kama Utanipenda aliyomshirikisha Rich Mavoko , sasa leo July 16, 2016 ameachia rasmi video yake mpya iitwayo Too Much imetayarishwa na director Hanscana. Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.