Advert

Download Nyimbo Mpya

Breaking News

Picha/Video: Papa Francis Aanguka Ghafla Akiongoza Misa Nchini Poland

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis, ameanguka ghafla wakati akiendelea na misa huko nchini Poland baada ya kujisikia vibaya. Inadaiwa Papa husumbuliwa na tatizo la maumivu ya miguu na mgongo. Hata hivyo hakuumia. Tazama picha na video za tukio hilo.

Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.