Advert

Download Nyimbo Mpya

Breaking News

Koffi Olomide akamatwa DR Congo na Kuhukumiwa Kifungo


KINSHASA, CONGO: Mahakama imemhukumu Mwanamuziki Koffi Olomide, miezi 18 jela kwa kumpiga mnenguaji wake wa kike wiki iliyopita.
Hukumu yake hiyo haina adhabu mbadala ya kulipa faini kwa hiyo atatakiwa kutumikia hiyo miezi 18 jela.
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.