Advert

Download Nyimbo Mpya

Breaking News

Diamond Platnumz Kwenye Post ya Mtandao wa TIDAL Ya Jay Z.

Wiki hii mtanzania Diamond Platnumz amekuwa miongoni mwa wasanii waliofanya show kwenye tamasha la wasanii na muziki wa Afrika la #OneAfricaMusicFest Mjini New York na wakati yupo kwenye show mtandao wa TIDAL Wa kuonyesha muziki uliweka show hio Live na Hii ndio post yao kuhusu Show ya Diamond Platnumz.
tidal 12
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.