Advert

Breaking News

Zitto Kabwe Ajitokeza Adai Polisi Wanamsaka, Asema Haya

DAR: Zitto Kabwe ajitokeza, adai Polisi wanamsaka. Asema Rais Magufuli alienda Rwanda kujifunza jinsi ya kubana Vyama vya Upinzani.
Ataka CCM imdhibiti Rais Magufuli, asema wakishindwa wao wapinzani watamdhibiti.


-JF Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.