Advert

Breaking News

Wanafunzi Chuo Kikuu UDSM Wagoma, Sababu Ipo Hapa

Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) leo wamegoma wakiishinikiza Bodi ya Mikopo(HESLB) kuwapatia fedha zao za kujikimu.

Kwa kawaida wanafunzi hupewa fedha za kujikimu kila baada ya miezi miwili.
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.