Advert

Breaking News

Video: Prezzo Amponda Msanii Jaguar Kisa Video Aliyofanya na Mafikizolo, Jionee Hapa

Hii ni kali kutoka kwa mwanamuziki Prezzo wa nchini Kenya amesema hana haja na kolabo za wasanii wakubwa wa Afrika kwani yeye ameshapewa baraka baada ya kukutana na Rapa Jay Z.

Akizungumza na eNewz Prezzo alisema kuwa yeye anajiamini hata alivyokutana na Jay Z rapa huyo alionekana kufurahia uwepo wake hivyo hana haja sana na kolabo za wasanii wa Afrika ili kutoka kimuziki.

Pia Prezzo alimpongeza msanii Jaguar kutoka nchini Kenya kwa kolabo yake na Mafikizolo huku akimpa pole kwa kutojua kudab katika nyimbo hiyo kiasi cha kukosea kufanya hivyo katika video yake.

-tubongetz
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.