Raisi Magufuli Atengua Uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Charles Kitwanga - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Raisi Magufuli Atengua Uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Charles Kitwanga

Rais‬ wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mheshimiwa Charles Kitwanga kuanzia leo tarehe 20 Mei, 2016. Rais Magufuli ametengua uteuzi huo kufuatia kitendo cha Mheshimiwa Charles Kitwanga kuingia bungeni na kujibu swali linaloihusu wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi akiwa amelewa.


Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.