Advert

Breaking News

Rais Mugabe Awa Babu Zimbabwe

Mugabe ameongoza Zimbabwe tangu 1980.

Kiongozi wa muda mrefu wa Zimbabwe Robert Mugabe, 92, amekuwa babu rasmi.

Hi ni baada ya bintiye wa pekee Bona Chikore kujifungua mtoto mvulana katika hospitali moja nje ya nchi hiyo.

Bi Chikore alijifungua mtoto huyo mwezi uliopita, gazeti la serikali la Herald limeripoti.

Bw Mugabe amesema mkewe Grace kwa sasa yuko pamoja nab inti huyo wao na mjukuu wao na kwamba watarejea Zimbabwe mwezi ujao. Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.