Advert

Download Nyimbo Mpya

Breaking News

Picha: Huu Ndio Mwonekano Mpya Wa Msanii Jux, Unasemaje ?

Jux amebadilisha muonekano wake na kuna na style mpya ya nywele. Muimbaji huyo wa ‘Looking For You’ amesokota nywele zake na kuziweka kwa mtindo kama wa wasanii wa kundi la zamani la hip hop. Kris Kros.
“Sometimes you have to believe in yourself and do what you want, uwezi kupendwa na wote na uwezi kumfuraisha kila mtu #jiamini #hapo #wivu #aftricanboy,” ameandika Jux kwenye moja ya picha alizoweka Instagram.

Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.