Advert

Breaking News

New Video: Alikiba Ft M.I - Aje | Itazame Hapa

Mkali wa Bongo flava Ali Kiba tayari ameiachia Youtube video ya ngoma yake mpya Aje.

Imeongozwa na Director aliyefanya ‘Chekecha’ Meji alabi, Wimbo umepikwa Chaiders Records kwa Abby Daddy

Itazame then muachie maoni yako,
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.