Advert

Breaking News

Nampenda Matonya Sababu Anajua Kuhonga – Gigy Money

Matonya ni mwanaume anayejua kuhonga, kwa mujibu wa mpenzi wake, Gigy Money.

Akizungumza katika kipindi cha Kubamba cha Times Fm Jumapili, Gigy aliweka wazi mahusiano yake na Matonya ambapo alimpigia simu ‘live’ redioni na kuzungumza kimahaba huku akijinasibu kwa dhati kuwa Matonya ni miongoni mwa wapenzi wake wanaohonga vizuri.

“Nimechoka kuulizwa kila siku juu ya Matonya ngoja nimpigie umsikie mwenyewe(anampigia)” alisema Gigy na kumpigia simu Matonya.

“Unajua nampenda sana Tonya kwa sababu anajua kuhonga aisee, namuelewa sana yani,” alimaliza.
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.