Advert

Breaking News

Hii Ndio Preject Mpya Ya Wema Sepetu, Inamhusu Nani ? Ipo hapa

Nchi zingine wanasema harakati hizi zinaitwa Giving Back to the Community, Wema Sepetu na Jamii ni project ya Wema Sepetu na usimamizi wake kugusa maisha ya watu wanaomzunguka haswa watoto kama unavyoona kwenye picha hizi.
Harakati hizi zimepewa jina  #WemaNaJamii #MkonoWaBaraka#MtotoWakoNiWangu
Wema 1
Wema 2
Wema 3
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.